Umoja wa akina mama wa kanisa la PATMO umehitimisha kilele cha wiki ya jamii kwa kuombea...

4 Просмотры
Издатель
Umoja wa akina mama wa kanisa la PATMO umehitimisha kilele cha wiki ya jamii kwa kuombea Miradi mbalimbali iliyoanzishwa na Raisi wa Awamu ya Tatu Benjamin Williamu Mkapa aliyoasisi katika kipindi chake cha utawala ili iweze kudumu na kuenziwa vizazi na vizazi vijavyo.
Категория
Интересные передачи
Комментариев нет.
Яндекс.Метрика