SportPesa watoa Msaada wa vifaa vya michezo kuadhimisha wiki ya mwananchi

9 Просмотры
Издатель
Meneja Uhusiano wa SportPesa Sabrina Msuya na Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz wakikabidhi vifaa vya michezo kwa wawakilishi wa timu za Kaptain Sports centre kutoka Mbagala na African People football club kutoka Mwananyamala mbele ya waandishi wa habari kwenye SportPesa Wiki ya Mwananchi.

#SportPesaWikiYaMwananchi
Категория
Интересные передачи
Комментариев нет.