Aliyekuwa rais wa Tanzania hayati John Magufuli atazikwa siku ya alhamisi wiki ijayo, Chato

5 Просмотры
Издатель
Aliyekuwa rais wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli atazikwa siku ya alhamisi wiki ijayo nyumbani kwake chato, mkoani geita. Rais wa Tanzania Bi. Samia Suluhu alitoa utaratibu wa mazishi na ratiba ya maziko hii leo baada ya kuapishwa rasmi na kuchukua hatamu za uongozi. Mwanahabari wetu Patrick Amimo huyu hapa na taarifa zaidi
Категория
Интересные передачи
Комментариев нет.